2 Chronicles 35:1

Mfalme Yosia Anaadhimisha Pasaka

(2 Wafalme 23:21-23)

1 aYosia akaadhimisha Pasaka kwa Bwana katika Yerusalemu, mwana-kondoo wa Pasaka akachinjwa siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Copyright information for SwhKC